Mbingu ina Rangi Gani?
$54.4
$103.36
Kitabu hiki kinalenga kumwezesha mwanafunzi kutambua mabadiliko mbalimbali ya hali ya anga na kuchukua hatua mwafaka zinazoweza kuwakinga dhidi ya hali hatari ya anga jinsi inavyopendekezwa katika silabasi mpya. Kwa hivyo, kitabu hiki kitafaa sana katika ufunzaji na ujifunzaji wa mada ya Hali ya anga inayojitokeza katika Somo la Kiswahili na Observing weather and sky inayojitokeza katika somo la Environmental Activities.
Grade 1